Swahili Nomads

Swahili Nomads

Melch Leonard

Karibu SWAHILI NOMADS ambapo tunakua na mambo mengi sana ya ku-share nawe kuhusu dunia ya kidijitali. Teknolojia imeboresha vitu vingi sana, hivyo kufanya maisha ya sasa kuwa mepesi zaidi, haswa kwa vijana tunaoishi na dunia viganjani mwetu. Fursa hizo ni kama ufanyaji kazi mtandaoni (Freelancing), Affiliate marketing, media buying, trading na mambo mengine mengi sana. Fursa hizo utazisikia wapi? Karibu SWAHILI NOMADS - Let's Talk Uchumi na fursa za kidijitali.


Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Categories: Education

Listen to the last episode:

Twitter Space's Hosted by, Melch Leonard.


Guest: Melch Leonard



Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Previous episodes

  • 5 - S01EP05 | Uza Sauti yako Mtandaoni [Voice Talent] | Melch Leonard 
    Thu, 22 Sep 2022 - 0h
  • 4 - S01EP04 | Uza ujuzi wako mtandaoni | Getpaid Africa 
    Mon, 12 Sep 2022 - 0h
  • 3 - S01EP03 | Ifahamu Blockchain Prt. 2 | Orbit Community Program 
    Wed, 07 Sep 2022
  • 2 - S01EP02 | Ifahamu Blockchain | Orbit Community Program 
    Sun, 21 Aug 2022 - 0h
  • 1 - S01EP01 | Jinsi Nlivyotengeneza $7000 Fiverr | JOVIN MWENDWA 
    Mon, 08 Aug 2022
Show more episodes

More Kenya education podcasts

More international education podcasts

Choose podcast genre