Bongo Bila Borders
Sabai na Alexa
14 - LUGHA NA UTAMBULISHO
Karibu kwenye Bongo Bila Borders — podcast inayozungumzia mambo yanayogusa tamaduni, imani, afya, mtindo wa maisha, mahusiano ya kimataifa, na kadhalika! 💥
Tunavunja stereotypes, tunajenga madaraja ya tamaduni, na tunashiriki hadithi halisi!
🎧 Kipindi kipya kila wiki (Alhamisi)
Follow, share na ujiunge🔉
Tunapeleka Bongo duniani kote!💫
#BongoBilaBorders 🌍
#Kiswahilikitukuzwe
#Kiswahilikienee