EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

ERNEST B. MAKULILO

7 - ELIMU YA CHUO KIKUU BURE NCHINI NORWAY
Podcast hii inatoa elimu ya mambo yanayohusu maisha ya ughaibuni (nje ya nchi, overseas life), upatikanaji wa udhamini wa elimu ya juu (scholarships), uandishi wa vitabu na kuuza kwenye mitandao kama Amazon, Barnes and Norbles nk. Na pia jinsi ya kupambana na maisha na kufanikiwa Kuachilia kutoa elimu hii, tutakuwa tunafanya mahojiano na watu mbalimbali ambao watakuwa wanatoa uzoefu wao, changamoto na mafanikio waliyofikia. Hii italeta hamasa kwa wengine kufuata njia zao na kufanikiwa. Ernest B. Makulilo Missouri, USA

00:00

Episodes

7-

ELIMU YA CHUO KIKUU BURE NCHINI NORWAY

Thu, 01 Jul 2021
6-

EBM SWAHILI (Trailer)

Wed, 30 Jun 2021
5-

JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 5)

Sat, 26 Jun 2021
4-

JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 4)

Fri, 25 Jun 2021
3-

JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 3)

Fri, 25 Jun 2021